Mwanamuziki mkogwe wa muziki wa dance Nchini Maalim Muhidin Gurumo afariki dunia jumapili ya April 13baada ya kulazwa katika hospitali ya taifa Muhimbili jijini Dar es salaam..
Mzee Gurumo alizaliwa mwaka 1940 katika kijiji cha Masaki Kisarawe mkoa wa Pwani
Mwanamuziki huyo aliyeimbia bendi ya Msondo Ngoma kwa zaidi ya miaka 50 tangia mwaka 1964, ameacha mjane na watoto.... extreme taarifa inawapapole familia ya mzee Ngurumo.
0 comments:
Post a Comment