Pages

Subscribe:

Ads 468x60px

Saturday, March 15, 2014

CHRIS BROWN KUFUNGWA JELA

                                       CHRIS BROWN KUFUNGWA JELA
 Mwanamuziki kutoka nchini Marekani Chris Brown akamatwa na polisi
katika mji wa Malibu,california ambapo alikuwa matibabu au ushari wa
kuzuia au kujirekebisha na hasira ndani ya mienzi minne.. kwa sasa Chris
Brown anashikilia na polisi bila mzamana kwenye jela za Los Angeles,
Inmate Reception center...

Chris Brown akishikiliwa na polisi california
Kisa kikubwa cha mwanamusiki huyo kukamatwa na polisi hakijajulikana mpaka
sasa, kwa tetesi za watu wa karibu na msanii huyo kuwa kisa ni ugomvi na
madawa ya kulevya ndio sababu ya kukamatwa msanii Chris Brown.

Chris Brown
Mwezi jana katika moja ya kesi za msanii huyo ilisibitishwa kuwa Chris Brown
kuwa anamatatizo ya msongo wa mawazo na kushindwa kulala pia mahakama ili
msifu msanii huyo kwa kuwa mtii na kukubaliana na "community service"

0 comments:

 
Blogger Templates