Pages

Subscribe:

Ads 468x60px

Friday, March 14, 2014

KENDRICK LAMAR,PHARRELLI WILLIAMS AND ALICIA KEYS NDANI YA "AMAZING SPIDER MAN 2"

       KENDRICK LAMAR,PHARRELL WILLIAMS AND ALICIA KEYS NDANI YA
                                                  "AMAZING SPIDER MAN 2"
     "It's on again" jina la track hiyo iliyopewa na shujaa wa filamu
ya "amazing spiderman 2" Flick na vocal kuingizwa na Alicia Keys pamoja
na mwanamuziki aliye tikisa kwa wimbo wa "happy" Pharrell Williams,
Kendric lamar kumalizia na vina katika sound track hiyo...

Kendrick Lamar,Alicia Keys na Pharrell Williams

 Zimmer muaandaaji wa muziki mkongwe na Production ya Pharrelli Williams
kusimamia mzigo huo... "hii ndio collabor la nguvu, halijawahi tokea.."
maneno ya Alicia keys kwa kuwa nyimbo hio imebeba ujumbe na maudhui ya
Amazing spider man 2 na pia kwasababu kuna hali ya ushujaa ndani ya
wanamuziki hao watatu..

Muonekano wa Amazing spider man 2
 Pharrell Williams anasema wakati wa kutengeneza track hiyo alijua tuu
lazima Kendrick Lamar ahusike kwenye track hiyo kutokana na uzowefu wake
kwenye kutengeza soundtrack za filamu kwani moja ya soundtrack kwenye
katuni ya "Dispicable me" kugombea tunzo za oscar....
Producer wa filamu ya Amazing spiderman 2 anawaambia wapenzi wasubiri
kwa hamu kwani la leo ni zaidi ya jana.


Pharrell Williams

0 comments:

 
Blogger Templates