Pages

Subscribe:

Ads 468x60px

MUZIKI

 
HATIMAYE JAY Z AJIBU DISS YA DRAKE 


Mwite Hov Or Shawn Carter rapa namba mbili katika forbes list ya wana Hip Hop wanao ingiza kisu kirefu Duniani.. Hov ni mtu asie penda kabisa kujibu dis ambazo zina elekezwa kwake Safari hii Jigga  a.k.a Baba Ivy Blue ameamua ku reply dis ya drake .. Ambapo kwa mara ya kwanza Drake ali mdis Jigga wakati akifanyiwa interview  na Rolling stone february mwaka huu 2014, drake alsema “its like HOV cant drop bars this days without atleast four art refferences” aki maanisha Jiga hawezi andika mstar mmoja bila kuingizia  mifano ya sanaa mbalimbali ….nafikiri drake alikua anazungumzia nyimbo kama piccaso...

Ambayo HOV aliandika akizungumzia art za uchoraji "graphics" na akiwataja wanasanaa kibao wakiwemo ma designer kama Leonardo Givanch,bosquatch na pia John michel..Ambapo mwanzoni mwa mwaka huu 2014 Jigga alinunua  art za John Michel arts kwa dola millin 4  sawa na Tsh billion 6…Sasa god of Rap  J-hov kama anavyojiita  ameibuka na kutoa majibu ya dis katika   nyimbo inayoitwa "
 "  ya Jay Electronica  ambayo ni remix ya ngoma ya Soulja boy.Jigga amejibu dis hiyo kwa mashairi yaliyopo katika nyimbo hiyo, moja wapo ni...
                                     "sorry mrs.Drizzy for so much art talk..
                                      silly Me ,rapping about shit that I realy bought
                                      while this rappers rap about gun they aint shot"


Jay Z kaonyesha kuwa sio ana-rap tu! ila anafanya kweli anacho kiongea kwenye nyimbo zake,sio kama rappers wanaoimba kuhusu gun and they never shot… huyu ndiye Rap god him self  part of owner of Brooklyn nets zaman new Jersey nets.Download na kusikiliza wimbo huo hapa
Download na kusikiliza wimbo huo hapa

0 comments:

 
Blogger Templates