Muongozaji wa video Jake Nava aingelea video hiyo na jinsi
anavyo fanya kazi na mwanadada Beyonce.Nava asema"inawezekana ikaonekana
kuwa video hii haina juhudi ndani...lakini Beyonce anatia bidii sana katika
kutengeneza video zake"...
![]() |
Beyonce ndani ya video mpya ya "partition" |
Malengo ya video hiyo ni uonesha jinsi mahusiano ya mwanadada Beyonce na mumewe
Jay z, kuwa ni mfano mzuri wa mahusiono ya kazi na mapenzi kufanikiwa kwa
kiasi kikubwa zaidi.Wimbo wa "partition" ndio wa mwisho kutengeneza katika albam
ya mwisho ya Beyonce... mpaka sasa albam hiyo kuuza zaidi ya nakala millioni mbili
![]() |
Cover la album ya Beyone |
0 comments:
Post a Comment