Pages

Subscribe:

Ads 468x60px

KARIBIA

NITAJUAJE KUWA MPENZI WANGU WA KIKE ANANIPENDA?

Matendo na hisia hufuatana kama sauti za muziki "tune".

Kama mwanamke anakupenda kweli,matendo yake yatakuwa "in tune" sawasawa na upendo wake.
Usimhukumu mwanamke kwa maneno yake,ukweli wake upo katika matendo yake.

Wanaume wengi wanachanganyikiwa kwasababu mara nyingi wanawake hawafuati kile wanacho sema,
sheria kuu ya kuelewana na wanawake ni kuwahukumu au kuwafuatisha katika matendo yao,kuliko
maneno yao... sio kwasababu mwanamke anakikuambia anakupenda haimaanishi kwamba "ana-feel"
upendo toka ndani ya moyo wake.

Wanawake mara nyingi huwa hawawezi kuchagua kipi wanataka so wanachofanya ni wanafuata dhamira
ndipo hapo matendo yao huwa ni ya muhimu kuliko maneno yao.

Kwa kujua hili itakusaidia kujua na kuelewa uhusiano wako vizuri.

Hisia za mapenzi zinafuatana na mapendeleo "interest" ya mtu kwa mtu... Mapendeleo "interest" zikipungua
ni ngumu zaidi ku-maintain Mapenzi, ni kawaida level za mapendeleo "interest" kushuka na kupanda,muda
mwingine huwa juu muda mwingine kawaida ila "interest" zikiwa chini katika uhusiano ni mbaya zaidi

Inategemeana mpenzi wako wa kike ni mtu wa aina gani, anaweza kuonesha anakupenda kwa njia tofauti...
Kama mwanamke anakupenda kweli mara nyingi ataonesha vitendo au matendo yafuatayo.

ATAKUPIGIA SIMU MARA NYINGI ZAIDI YA UNAVYO MPIGIA WEWE.
Wanawake wenye mapenzi ya kweli mara nyingi huwa wanawafikiria muda wote wapenzi wao au wanaume wao,kwahiyo ni kawaida kwao kumpigia simu mara kwa mara "just" kujua mwanamke yuko wapi na anafanya nini!.

Kama anakupigia mara chache, inamaanisha kuwa ana-interest ndogo kwako kwa upande wake.

Jaribu hivi, usimpigie simu kwa wiki moja tuu.Muache yeye ndio aweanapiga simu.Angalia au hesabia ni mara ngapi anakupigia bila ya wewe kumpigia..

Kama atakupigia simu chini ya mara 5 kwa wiki inaonesha kuwa level ya "interest" ni ndogo sana kwa upande wake
Kama atakupigia simu zaidi ya mara 20 kwa wiki inamaanisha kuwa level ya "interest" ni kubwa zaidi..
Katikati ya hapo inaonesha kuwa interest yake kwako ni ya kawaida ambapo ni sio vizuri sana kama ndio
kwanza mnaanzisha uhusiano.

ANAKUPA BILA HATA KUOMBA AU KUULIZIA
Wanawake ni watoaji,wanapenda kutoa zaidi kuliko wanaume,moja ya vionesho kuwa anakupenda ni jinsi gani anakupa au anajitoa kwako.

Sio lazima aweanakupa vitu,anaweza kuwa anakupa kisses,hug,food,comfort,massage au chochote...
The more anakupa,the more anakupenda.. ni rahisi.

Wanawake wengi walio na mapenzi ya kweli they constantly kissing,cudding or hugging wapenzi wao.ni njia
yao ya kutoa comfort hasa kwa wale wanaowapenda kweli..

Kama mpenzi wako wa kike hajawahi kukubusu bila ya wewe kuomba, ni inaonesha kuwa interest yake kwako ni sawa na zero.

ANAKU-TREAT KAMA MTOTO WAKE.

Asilimia 90 ya wanawake walio kwenye uhusiano na wanaowapenda wanaume wao, wanawa-treat wapenzi wao kama watoto.constantly cudding or cajoling them.

Wanawapa wanaume wao majina ya watoto ua ya kitoto..the more she loves you the more she will treat like a baby,na pia wanaume wanapenda ku-treatiwa kama watoto

ANACHUKIA UKIFANYA KOSA HATA DOGO TUU

Yeah, wanawake wanapenda kuchukia na kugombana na wapenzi wao hata kwa sababu ndogo na simple tuu.
There is a bottom line here though, if she is constantly nagging you or getting abnormally angry for small things, it could indicate an emotional problem she is suffering from.

APATAWIVU PALE UNAPOONGEA NA WANAWAKE WENGINE.
Kama anakupenda kweli atajisikia "possessive" kwako na kufanya asitake kabisa ku-share wewe na mtu mwingine

    

0 comments:

 
Blogger Templates