Miangaiko ya Robin Thickle kuweka ndoa sawasawa itafanikiwa!?
ni swali ambalo lipo kwa wapenzi "fans" wa mastaa hawa wa muziki na
filamu baada ya ndoa ya Robin na Paula kuteteleka mpaka kufikia..
kiasi cha kuchukua hatua ya kupeana taraka...
![]() |
Wanandoa hao Robin Thickle na Paula Patton |
Habari kutoka kwa watu wakaribu na wanandoa hao wanasema kuwa
inawezekana pia star wa muziki Robin Thickle atafanikiwa kupata au
kuweka ndoa yake sawa kwani mpaka sasa Paula Patton hajahajiri mtu
wa kusimsamia taraka yake mahakamani...
![]() |
Robin Thickle akiwa na mkewe Paula Patton parting |
hatua ya taraka. Wapenzi wa mastar hao wanapenda kuona ndoa yao
ikiwa poa na kwa sasa wanawaombea kila heri wafikie muafaka na sio
kutengana.
0 comments:
Post a Comment