Mwanamuziki Judith Wambura a.k.a Lady jaydee ameanza kuutangaza wimbo wake mpya unaoitwa "nasimama" na kusema sio muda mrefu anaachia nyimbo hiyo baada ya "historia". Mwanadada huyo ambaye kabla ametesa sana na wimbo wa "yahaya" ameendelea kuwakimbiza wanamuziki wenzake kwa nyimbo "kistoria" na sasa "nasimama"
 |
Lady Jaydee |
Mwanadada huyo aanzakuitangaza wimbo huo kwa ku-post kwenye mitandao ya kijamii
"Chorus ya wimbo wangu mpya ambao haujatoka unaitwa NASIMAMA... maneno haya hapaa"
CHORUS;aliyepanga ni maanani,shida na riziki zangu
aliyezitupa gizani,shida na tabu zangu oooh *2
0 comments:
Post a Comment